Riwaya: MATESO YA KISASI
Mtunzi: Danphord S Chilumba
Simu: 0758 145320
barua pepe: danchilumba34@gmail.com
Sehemu 1
Ilikua asubuhi ya majira ya saa nne na dakika arobaini na tano (10:45)
wakati huo wanafunzi wakiwa katika kipindi cha mapumziko, katika sehemu mbalimbali wakiendelea kupata chochote kitu ili kuweza kusaidia matumbo yao yahimili mikikiimikii ya masomo yaliyokua yakiendelea katika ratiba ya siku hiyo.
Ni siku ambayo Edwini hatoisahau, kwa maana ni siku ambayo alimsababishia binti mmoja alieitwa Konsolata ambae nae pia alikua mwanafunzi wa darasa la nne kama alivyo Edwini kuweza kuacha shule.
Ni baada ya mwalimu Jerry kukamata barua ya kimapenzi ambayo Edwini alimwamdikia Konsolata, hivyo mwalimu Jerry baada ya kuletewa barua hiyo na mmoja wa wanafunzi wa darasa hilohilo la nne ambae ni fatma, ni baada ya EDdwini kuandika hiyo barua na kuiifadhi ndani ya daftari la kiswahili ili baadae amkabidhi Konsolata. baahati mbaya barua ilidondoka na Fatma alipoiokota moja kwa moja aliipeleka kwa mwalimu Jerry.
*******************
Mzee Chisa ni miomgomi mwa mafundi ujenzi mahiri na maarufu sana katika jiji la Dar es salaam, mzee huyu alikua akiishi maeneo ya kibera pembezoni mwa jiji la Dar es salaam. Akiwa ndani na mke mdogo bi Alfan ghafla alisikia hodi nje,wakati hou mvua kubwa sana ilikua ikiendelea kunyesha huku miungurumo ya radi ilioambata na miale ya hapa na pale ikiwaka, bila kuacha nyuma miungurumo ya kutisha ikiendelea.
Mvua kubwa iliendelea kummiminikia mwilini mama yake Edwini huku akiendelea kubisha hodi mlangoni mwa Mzee Chisa,
"Hooodiii..... Hodiiii" Mama Edwini aliendelea kuita
"Hooodiii wenyewe humu ndanii..." Mama Edwini aliendelea kuit kwa bidii.
***********************
Hii i riwaya nzuri sana inayohusu famili na changamoto wanazopitia watoto na akina mama mbalimbali,
nami nakushi anza nami na endelea nami kufutilia riwaya hii ili ujifunze mengi zaidi
ITAENDELEA......

Maoni
Chapisha Maoni