Habarini ndugu watanzania,
Napenda kuwakaribisha katika blog hii. Blog hii ni blog inayohusu SIMULIZI ZA KUSISIMUA NA ZENYE MAFUNZO mbalimbali, na simujizi hizi ni simulizi za kweli ambazo zinawakuta watanzania wenzetu mbalimbali zinazohusu maisha na matukio mbalimbali.
Hivyo napenda kuwakaribisha kwa furaha ili tuanze kwa pamoja kufuatiliasimulizi moja baada moja il;i kujua changamoto zinazowakumba watanzania na tujifunze mambo mbalimbali

Maoni
Chapisha Maoni