
RIWAYA; MATESO YA KISASI MTUNZI; DANPHORD S. CHILUMBA SIMU; 0758 145320 E MAIL; danchilumba34@gmail.com i Ilipoishia.... Mzee Chisa ni miomgomi mwa mafundi ujenzi mahiri na maarufu sana katika jiji la Dar es salaam, mzee huyu alikua akiishi maeneo ya kibera pembezoni mwa jiji la Dar es salaam. Akiwa ndani na mke mdogo bi Alfan ghafla alisikia hodi nje,wakati hou mvua kubwa sana ilikua ikiendelea kunyesha huku miungurumo ya radi ilioambata na miale ya hapa na pale ikiwaka, bila kuacha nyuma miungurumo ya kutisha ikiendelea. Mvua kubwa iliendelea kummiminikia mwilini mama yake Edwini huku akiendelea kubisha hodi mlangoni mwa Mzee Chisa, "Hooodiii..... Hodiiii" Mama Edwini aliendelea kuita "Hooodiii wenyewe humu ndanii..." Mama Edwini aliendelea kuita kwa bidii. ENDELEA.... " Mama Edwin?" Mzee chisa alishangaa kumuona mama Edwin akiwa nyumbani kwake saa hizo huku akiwa amelowana mwilini mzima kutokana mvua kubwa iliomnyess...